Marioo – My Life Lyrics

Marioo – My Life Lyrics. This is the marioo song lyrics for the fans to learn, enjoy and sing. Catch a copy here!

Marioo – My Life Lyrics

VERSE 1

Wanasemaga nabii hakubaliki kwao (kwaooo)
Hata mi walikuwepo wakunipinga kitaani
Walisemaga wahenga eti mtu kwao (kwaoo)
Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani
Aaah kutoka home mpaka studio kwa miguu
Viwalo vipya kutupia sikukuu
Nguo mbaya imepaukaa kuukuu
Kula yangu anayeijua aliye juu
Mmmh, yeeaah, aaah

BRIDGE
Mungu hakunyimi vyote
Akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma ila kanipa kipaji nitimize malengo

CHORUS
Never never never, never give up (never)
Never never never, never give up (never)

VERSE 2
Ilikuwa kama movie ila tumeishi kwa raha
Wanaotukwamishaga tunawaona kama changamoto
Leo imekuwa kama movie ila tumeishi kwa raha
Tuna mipira na kila zana ujana maji ya moto
Asante sana kwa kunifanya superstar
Leo najulikana kila kona ya mtaa
Asante mama mwanao kipenzi cha watu
Napendwa sana kona zote za mtaa

BRIDGE
Mungu hakunyimi vyote
Akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma ila kanipa kipaji nitimize malengo

CHORUS
Never never never, never give up (never)
Never never never, never give up (never)

…..THE END……

Check the visuals below;

See other lyrics below;